hongera Dr Shein

Kwa maoni yang na kauli nying zilizo katika vinywa vya weng. Dr Shein ni rais mteuliwa na sio mchaguliwa kwa wazanzibar, kateuliwa na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ndugu jecha na ndo maana anaitwa rais mteule wa zanzibar. Zanzibar ina watu zaid ya watu 1m lakin waliomchagua ni watu chini ya laki tatu na anatapa kwa kushinda kwa kishindo, ama kweli CCM ni mabingwa wa kutunga isidingo na kuzicheza. Kwa akili ya kawaid tu utajua ni yupi rais wa zanzibar, chukua hata laki tatu tao na milion moja ndo utapata kula harali za rais wa kuchaguliw wa visiwa vya zanzibar aliyepingwa na jecha.
Share:
Designed and Developed by Joel Elphas 0757 755 228 or 0655 755 228 © CENTER OF WISDOM BY KALIBULE | ronangelo | NewBloggerThemes.com