tanzania yavunja rekodi
"Kuna jengo la gorofa tatu linajengwa pale muhimbili lina miaka 20 lakini bado halijaisha tumevunja rekodi" hayo yamesemwa na rais wa awamu ya tano Dr John.P. Magufuri leo hii wakati akiongea na wazee wa jiji la Dar es salaam katika ukumbi diamond jubilee. Pia katika mkutano huo aliendelea kusisitiza kuwa yeye hana mamlaka ya kuingilia na kutatua mkwamo wa kisiasa unaoendelea kisiwani Zanzabar.