tanzania yavunja rekodi
"Kuna jengo la gorofa tatu linajengwa pale muhimbili lina miaka 20 lakini bado halijaisha tumevunja rekodi" hayo yamesemwa na rais wa awamu ya tano Dr John.P. Magufuri leo hii wakati akiongea na wazee wa jiji la Dar es salaam katika ukumbi diamond jubilee. Pia katika mkutano huo aliendelea kusisitiza kuwa yeye hana mamlaka ya kuingilia na kutatua mkwamo wa kisiasa unaoendelea kisiwani Zanzabar.
kila la kheri Young African
Mabingwa wa ligi kuu ya tanzania young african maruufu kama watoto wa jangwani kesho watoondoka majira ya alfajili kuelekea Mauritius kwenda kutupa karata yao ya kwanza katika kombe la klabu bingwa dhidi ya wenyeji wao. Akiongea na vyombo vya habari msemaji wa klabu hiyo mwenye bwebwe na maneno yasiyo mwisha Jeri Muro alisema kesho wataanza safari saa kumi na moja alfajiri kwa ndege ya kukodi, aliendelea kusema kuwa safari yao itakua ya moja kwa moja mpaka nchini Mauritius hawatapepesa macho popote pia aliwataka watanzania kuiombea yanga ili wakapate ushindi huko ugenini. Kama mtanzania mpenda soka nasema viva young afrikan ushindi wenu ni ushindi wa watanzania wote.
Latest News
-
SAINT AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA FACUTLY OF EDUCATION CASE STUDY: NYAMAGANA DISTRICT RESEARCH PROPOSAL An assessment of...
-
Hao ndio madereva wetu ukiuliza wanakimbilia nini? hawatakujibu. Lakini hebu tujiulize wote baada ya hali hiyo kutokea je abiria wa mabasi...
-
Kwa maoni yang na kauli nying zilizo katika vinywa vya weng. Dr Shein ni rais mteuliwa na sio mchaguliwa kwa wazanzibar, kateuliwa na mwenye...
-
Ni Mbwana Ali Samata maarufu kama sammagoli au popa, mshambuliaji wa kimataifa wa timu ya taifa ya tanzania ambaye pia ni nahodha wa timu ...
-
Mabingwa wa ligi kuu ya tanzania young african maruufu kama watoto wa jangwani kesho watoondoka majira ya alfajili kuelekea Mauritius kwenda...
-
"Kuna jengo la gorofa tatu linajengwa pale muhimbili lina miaka 20 lakini bado halijaisha tumevunja rekodi" hayo yamesemwa na rais...
-
Karibu Wote wapenda mabadiliko hapa ndo mahara pake